Steps to Reconciliation - Hatua za Upatanisho (from Barry and Lori Byrne's Love After Marriage course)

1.     This is what I did wrong or this is what I did that hurt you.
Hiki ndicho nilichokosea au hiki ndicho nilichofanya ambacho kilikuumiza.

 

2.     This is the pain that I believe I put you through because of what I did.
Huu ndio uchungu ambao ninaamini nimekusababishia kwa sababu ya kile nilichofanya. (subiri mrejesho kutoka kwa uliyemkosea)

 

3.     This is how I feel about putting you through that pain.
Hivi ndivyo ninahisi kuhusu kukusababishia uchungu huo.

 

4.     Express your sincere desire and intention to change this behavior and not bring this pain into the relationship in the future.
Elezea shauku yako ya kweli na makusudio kubadilisha tabia hii na kutokuleta uchungu huu katika mahusiano siku zijazo.

 

5.     Look at the other person and ask them, can you forgive me for this pain I have brought to you or this wrong I have done to you?
Mwangalie huyo mtu mwingine na umuulize, unaweza nisamehe kwa uchungu huu niliouleta kwako au kosa hili nililokufanyia.