1. Love (1 Cor. 13:4-8) Love NEVER fails!
Upendo (1 Cor 13:4-8) Upendo haukomi
2. Honor (Romans 12:10) - Honor one another above yourselves
Heshima (Warumi 12:10)- kwa heshima mkiwatanguliza wenzenu.
3. Self-control (Galatians 5:23) - The core of being a powerful person
Kujizuia (Galatia 5:23) - Msingi wa kuwa mtu dhabiti.
4. Responsibility (2 Tim 4:2) - Be prepared in season and out of season
Wajibu (2 Tim 4:2)- Uwe tayari wakati ufaao na usiofaa
5. Truth (Ephesians 4:15) - Speak truth in love
Kweli (Efeso 4:15) Sema ukweli katika upendo
6. Faith (Proverbs 3:5) - Trust in the Lord
Imani (Mithali 3:5) Mtegemee Bwana
7. Vision (Proverbs 29:18) - Without revelation people cast off restraint
Maono (Mithali 29:18) Pasipo maono watu hukosa kujizuia