Our Core Beliefs - Imani Zetu za Msingi

 
 

God is a good father - Mungu ni baba mwema
- His goodness is extravagant and without limits - Wema wake ni wa ajabu na
hauna mipaka
- God’s governmemnt is family - Serikali ya Mungu ni familia
- Our first calling and purpose is sonship, not leadership - Mwito wetu wa kwanza
na kusudi letu ni kuwa wana wala sio kuongoza

All people are valuable - Watu wote wana thamani
- We choose to celebrate who people truly are instead of stumbling over who they
are not - Tunachagua kuwafurahia watu kama walivyo badala ya kukwazika na
mapungufu yao
- We look for gold in others - Tunatafuta dhahabu ndani ya wengine

Nothing is impossible - Hakuna lisilowezekana
- We are fighting from victory, not for victory - Tunapigana kutoka nafasi ya ushindi,
hatupiganii ushindi
- We are never victims of our circumstances, but with God, there is always a solution
Kamwe sisi sio wahanga wa hali zetu, lakini pamoja na Mungu kuna suluhisho
wakati wote